Afisa Utumishi wa B.O.T
Huyu ndo Bw, Amatius Liyumba aliyekuwa Afisa Utumishi wa Bot
hapa akiwa kizmbani katika mahakama ya kisutu naposhikiliwa kwa
la kuisababishia serikali hasara ya bilioni 200 katika ujenzi wa ofisi
mpya za BOT{ Twins Tower}
dhamana yake anatakiwa tsh billioni 50, mtuhumiwa yuko rumande
wadau tupeni data zake?
je ni kweli pesa hizo zote amezitumia yy pamoja na mzee kweka?
lakini mbona majengo yameisha na yanavutia!!!!!!!!!!