Kundi zima la NAKO 2 NAKO SOLDIERS!!
Kundi la n2n linaloundwa na Lord Eyes a.k.a Easy NAKO, Ibra da Hustler, G-nako na BO-NAKO, Hivi karibuni kila msanii wa kundi hilo atatoka na kazi zake binfsi(nyimbo) kama solo artist..
tayari baadhi ya wasanii wa kundi hilo ambalo lilitamba na nyimbo za "we ndo mchizi wangu,ndo zetu kuwakilisha, arusha night mare,hawatuwei na nyinginezo kibao" wameendelea kukamilisha project zao katika studio mbalimbali zilizopo jijini Dar es salaam..
miongoni mwao ambao tayari wamekwishakalibia kukamilisha project zao ni Lord Eyes, Ibra na Bo-Nako...............
stay tuned!!!!!!!!!!!!!!!