hans holger albrecht

Monday, July 27, 2009

GZ MOBB IZ BACK


Mwanaharakati akiwa na Gerald saria a.k.a G-Solo na Jumanne a.ka. J4 ambao ni waasisi wa kundi la GZ MOBB, G solo anasema wako katika harakati za kurirudisha kundi lao kwenye game.........jamaa waliwahi kutamba na nyimbo kama ya" OOH LEO "ft Unique Sister .. kundi hilo lilikuwa na wasanii wengi wakiwemo Mzungu,na D white ambaye kwa sasa ni DJ wa Club Billcanas