hans holger albrecht

Monday, March 30, 2009

Nelson Chrizostom Rutta a.k.a Faza Nelly



Faz Nelly a.k.a Nelson Rutta
Faza Nelly alifariki tarehe 29/03/06 jijini Arachuga baada ya kuchomwa kisu na jamaa ambaye inasemakana alikuwa ni jirani yake Bw.Moses.
katika jiji la Arachuga jana funs walimeet katika pande za kijenge juu na kufanya kumbukumbu ya kumkumbuka faza nelly...picha za jana kufuata hivi punde kutoka kwa mchz wa kitaani Steve Parker aliyekuwepo eneo la tukio...
Ikiwa jana tumetimiza miaka mitatu tangu kuondokewa na kipenzi chetu katika mziki wa kizazi kipya, tunamkumbuka marehemu kwa mchango wake mkubwa katika kuukuza mziki wa kibongo na kuutangaza kimataifa...
mpaka leo hii mtu aliyemchoma kisu faza nelly Bw.Moses bado hajapatikana.....................
wadau toka kutokea kifo cha faza nelly vipi kundi la xplastaz limeweza kusong front au limekwama?
vipi kuhusu memberz wenzake G-son,Kamaa, Zigy lah,Diana n Yamat...je kuna ukweli kuwa kuondoka kwa faza kumelifanya kundi hilo kuwa kimyaaaaaa na kudhihirisha kuwa faza ndo alikwa kichwa???????????
unaweza kutembela www.xplastaz.com kwa habari zaidi