hans holger albrecht

Wednesday, April 1, 2009

Border ya kuelekea East Zoo-Dom

Hapa ni njia ya kuelekea maakao makuu yaChamber Squad East Zoo..
East Zoo ni eneo lililopo mjini Dodoma makao makuu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, East zoo ndo chimbuko la wasanii kama anavyosema Dark Master muasisi wa kundi la chamber squad, amabalo asili yake lilizaliwa katika shule ya sekondari mazengo miaka ya 90's amayo kwa sasa ni st.johns university.
east zoo chimbuko la wasanii ndiko walipotokea watu kama akina Ngwair, Noorah,Mez B, Mallo Star,Bisa,Tony Bad Brain, Tino graphic, Ras Taz, Baf da Don na wengineo wengiii tu,
wakali wa east zoo manaonaje katikati ya mwaka tukafanye party ya pamoja ndani ya Dodoma...........
Wana East Zoo tuwasiliane kupitia ili tujue vipi tunaweza kufanikisha hili bafmaks@gmail.com, bafmaks@hotmail.com