Hali ya uwanja mpya wa Taifa jijini dar es salaam ni dhohofu na ya kutisha!!
uwanja huu amabao mpk sasa bado haujapata kampuni ya kuuendesha , umekuwa ni mchafu kuaznai viti mpaka vyoo haliambayo inaweza pelekea mashabiki kuugua maradhi wasiyoyategemea...hivi ni viti amabavyo mtazamaji anatakiwa kuketiili kutazama mechi ya mahasim simba na yanga kwaa mkiingilio cha buku 7 viti vya bluu...hali inatisha TFF tunawaomba mlitazme hili