Hii imetoke jijini mwanza katika mtaa wa kaluta, baada ya binti huyu kukamtwa kwa kosa la kuiba na kutapeli..tukio hili liliotokea hivi karibuni jijini hapo baada ya binti huyu kumtapeli mwana mama kutoka sengerema silingi laki 7, na kutoroka..allahmdulliah wakatutana mtaa unaofuta ndupo aliyeibiwa akapiga rwangi, raia wakamvaa mwizi huyu na kumpa kichapo cha mbwa mwizi.. maajabu bitnti huyu alikuwa na mzigo wa shanga kiunoni kama kilo 5 hivi.. ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni. shanga zote hizi huyu bibie za nini? wadau toeni maoni yenu