hans holger albrecht

Saturday, October 30, 2010

R.I.P SYLLERSAID MZIRAY

Kocha mzawa, mzalendo, syllersiad Mizray amefariki dunia siku ya leo jijini dar es salaam!!
may god rest in peace his eternal life..amen!!

Wednesday, October 13, 2010

SIJUI NJAA ,AMA USINGIZI?

Hapa huyu mzee anackia nenge au ni kitu cha usingizzi?

Sunday, October 10, 2010

NDANI YA KIGOMA!!

Wakazi wa kigoma mjini tupeni data, hii picha inavyojieleza hapo ni ukweli?

Saturday, September 11, 2010

BINTI TAPELI APEWA KICHAPO





Hii imetoke jijini mwanza katika mtaa wa kaluta, baada ya binti huyu kukamtwa kwa kosa la kuiba na kutapeli..tukio hili liliotokea hivi karibuni jijini hapo baada ya binti huyu kumtapeli mwana mama kutoka sengerema silingi laki 7, na kutoroka..allahmdulliah wakatutana mtaa unaofuta ndupo aliyeibiwa akapiga rwangi, raia wakamvaa mwizi huyu na kumpa kichapo cha mbwa mwizi.. maajabu bitnti huyu alikuwa na mzigo wa shanga kiunoni kama kilo 5 hivi.. ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni. shanga zote hizi huyu bibie za nini? wadau toeni maoni yenu

Tuesday, August 31, 2010

HII NI AIBU KWA UWANJA WA TAIFA

Hali ya uwanja mpya wa Taifa jijini dar es salaam ni dhohofu na ya kutisha!!
uwanja huu amabao mpk sasa bado haujapata kampuni ya kuuendesha , umekuwa ni mchafu kuaznai viti mpaka vyoo haliambayo inaweza pelekea mashabiki kuugua maradhi wasiyoyategemea...hivi ni viti amabavyo mtazamaji anatakiwa kuketiili kutazama mechi ya mahasim simba na yanga kwaa mkiingilio cha buku 7 viti vya bluu...hali inatisha TFF tunawaomba mlitazme hili

Thursday, February 18, 2010

MAANDHARI

Hii ni kigiza gizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


Hapa wakati jua linawaka!!!!!!!!!!!!11

Swiming & Beach

Ufukwe umetuliaaaaaaaaaaaaa kwa wakogaji hapa ndo penyeeeeeeeeeeeeeeeeeee



Kuna swiming iliyochimbwa kwenye mawe ya ukweli km unataka kupiga kadindii......

Kaunta- mmalaika beach

Vinywaji vya kumwagilili mpk kusaza!!!

Mdau nasomeka na coctail ndani ya kaunta ucpime!!!

Inakubidi kupita kitonga ili kufika....kitu juu ya mawe!!!!!!!!!!!!!


Hili ndo main gate la malaika beach hotel...

HII NI MALAIK ABEACH HOTEL

Hii ni sehemu ya room za hotel ya malaika ktk jiji lenye miamba!!!!!

Monday, July 27, 2009

GZ MOBB IZ BACK


Mwanaharakati akiwa na Gerald saria a.k.a G-Solo na Jumanne a.ka. J4 ambao ni waasisi wa kundi la GZ MOBB, G solo anasema wako katika harakati za kurirudisha kundi lao kwenye game.........jamaa waliwahi kutamba na nyimbo kama ya" OOH LEO "ft Unique Sister .. kundi hilo lilikuwa na wasanii wengi wakiwemo Mzungu,na D white ambaye kwa sasa ni DJ wa Club Billcanas

KAMBA HII C MCHEZO!!!!


Hii ni kamba mida ya asubuhi katika barabara ya kilwa eneo la bandari mzunguko, kama unavyoona abiria wanachelewa kufika mjini city centre kwa ajili ya kamba hiiii..... huchua hata masaa manne kupungua

Wednesday, May 6, 2009

Owner wa kitaanikwetu.blogspot.com

Baraka Kizuguto also known as Baf da Don!! z da owner of the blog!!!!!!!!!!! wadau naombeni ushirikiano katika blog yenu hiii

Wanajeshi wakifukua moja ya Bomu maeneo ya chuo cha UHASIBU

Hapa in maeneo ya cho cha uhasibu T.I.A Dar es salaam ambapo moja ya mabomu yaliyolipuka lilitua hapa........halikuzulu mtu yeyote hapa

Thursday, April 30, 2009

Waathirika wa mabomu ya mbagala



Manyema fc


Wachezaji wakiwa katika mazoezi ya mchujo katika uwanja wa benjamini mkapa leo asubuhi...
timu ya Manyema imeanza maandalizi kwa ajili ya msimu wa ligi uatakaoanza mwezi august chini ya makocha Abdallah Kibadeni ,Yassin Napili na Sheha Abdalla

Friday, April 24, 2009

Mrisho Ngassa n Presidentiiiiii Kikwete


Kijana Mrisho Ngasa akisalimiana na rais Jakaya Kikwete....
Mchezaji huyu wa Yanga African anaendelea na majaribio ya kucheza soka la kulipwa katika klabu ya West Ham United nchini Uingereza...sasa anaendelea na majaribio katika wiki ya pili chini ya kocha mkuu wa West Ham mtaliano Gianfarnco Zolla

Wednesday, April 22, 2009

NADIR HAROUB "CANAVARO"



Nadir Haroub Ally"Canavaro" akiwa na kocha wa timu yake ya Yanga African Dusan Kondic mara baaada ya mchezo kati yao na Simba SC kumalizika katika uwanja mpya wa TAIFA jijini Dar es salaam.....

Nadir Haroub"Canavaro", kiungo wa Moro Untd pamoja na timu ya Taifa" Taifa Stars" Nizar Khalfan pamoja na nyota chipukizi mwa wakata miwa waManungu- Turian Mtibwa Sugar Zahoro Pazi wanatazamiwa kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Vancouver whitecaps ya nchini Canada....

kwa mujibu wa wakala wa wachezaji hao anayetambulika na FIFA nchini Bw.Said Tulliy wachezaji hao wanategemea kuondoka nchini hivi karibuni,mara tu baada ya kumalizika kwa ligi ya Vodacom mwishoni mwa mwezi huuu

"kila kitu kinakwenda safi katika maandalizi ya safari yao, na wiki ijayo tunategemea kusaini mikataba nao kabla ya kuondoka" alisema Said Tulliy....

Mungu ibariki Tanzania tufanikiwe

Wednesday, April 1, 2009

CHINGY n BOW WOW ndani ya BONGO

CHINGY
Chingy anatazamiwa kufanya shoo ndani ya bongo siku ya ijumaaa katika Kilimanjaro Music Awards...............stay tune!!!!!!!!!!!!!!!!!

N2N

Kundi zima la NAKO 2 NAKO SOLDIERS!!
Kundi la n2n linaloundwa na Lord Eyes a.k.a Easy NAKO, Ibra da Hustler, G-nako na BO-NAKO, Hivi karibuni kila msanii wa kundi hilo atatoka na kazi zake binfsi(nyimbo) kama solo artist..
tayari baadhi ya wasanii wa kundi hilo ambalo lilitamba na nyimbo za "we ndo mchizi wangu,ndo zetu kuwakilisha, arusha night mare,hawatuwei na nyinginezo kibao" wameendelea kukamilisha project zao katika studio mbalimbali zilizopo jijini Dar es salaam..
miongoni mwao ambao tayari wamekwishakalibia kukamilisha project zao ni Lord Eyes, Ibra na Bo-Nako...............
stay tuned!!!!!!!!!!!!!!!

Lady JD alipowasha moto ndani ya Japan

Lady JD a.k.a Commando
Lady Jd akiwasha moto katika shoo moja iliyofanyika mjini Japan...
mwanadada huyu amekua katika level za juu kwa mda mrefu pasipo kuteteleka tangu kuanza game hii ya music mwishoni mwa miaka ya 90's.
Amefanikiwa kumaintan kwenye music industry na kuwa mwanamziki w kike ambaye chati yake imeendelea kuwa juu kwa zaidi ya miaka 8 sasa!!!
manakumbuka track zake za UMUHIMU WAKO?
hey Jide KEEP IT UP SIS......WE REAL APPRECIATE U

Nani Mkali wa Free Style bongo?

Ngwair n Chidi Benz {freestyle battle in studio}
Ngwair; Hapo ni albert mangwea,mzaliwa wa mbeya, east zoo ndo anatokea, japo asili yake ni songea
Chid; chid benz mtoto wa ilala, toka boma haina kulala, ngoma inatambaa moaka watu washangae,
nani mkali wa free style a.k. mitindo huru kati ya Ngwair na Chid Benz?
wadau tupeni maoni

Chamber Sqaud

Albert Mangwea a.k.a Ngwair na Haji Malick Noorah a.ka Noorah

Border ya kuelekea East Zoo-Dom

Hapa ni njia ya kuelekea maakao makuu yaChamber Squad East Zoo..
East Zoo ni eneo lililopo mjini Dodoma makao makuu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, East zoo ndo chimbuko la wasanii kama anavyosema Dark Master muasisi wa kundi la chamber squad, amabalo asili yake lilizaliwa katika shule ya sekondari mazengo miaka ya 90's amayo kwa sasa ni st.johns university.
east zoo chimbuko la wasanii ndiko walipotokea watu kama akina Ngwair, Noorah,Mez B, Mallo Star,Bisa,Tony Bad Brain, Tino graphic, Ras Taz, Baf da Don na wengineo wengiii tu,
wakali wa east zoo manaonaje katikati ya mwaka tukafanye party ya pamoja ndani ya Dodoma...........
Wana East Zoo tuwasiliane kupitia ili tujue vipi tunaweza kufanikisha hili bafmaks@gmail.com, bafmaks@hotmail.com

Monday, March 30, 2009

Nelson Chrizostom Rutta a.k.a Faza Nelly



Faz Nelly a.k.a Nelson Rutta
Faza Nelly alifariki tarehe 29/03/06 jijini Arachuga baada ya kuchomwa kisu na jamaa ambaye inasemakana alikuwa ni jirani yake Bw.Moses.
katika jiji la Arachuga jana funs walimeet katika pande za kijenge juu na kufanya kumbukumbu ya kumkumbuka faza nelly...picha za jana kufuata hivi punde kutoka kwa mchz wa kitaani Steve Parker aliyekuwepo eneo la tukio...
Ikiwa jana tumetimiza miaka mitatu tangu kuondokewa na kipenzi chetu katika mziki wa kizazi kipya, tunamkumbuka marehemu kwa mchango wake mkubwa katika kuukuza mziki wa kibongo na kuutangaza kimataifa...
mpaka leo hii mtu aliyemchoma kisu faza nelly Bw.Moses bado hajapatikana.....................
wadau toka kutokea kifo cha faza nelly vipi kundi la xplastaz limeweza kusong front au limekwama?
vipi kuhusu memberz wenzake G-son,Kamaa, Zigy lah,Diana n Yamat...je kuna ukweli kuwa kuondoka kwa faza kumelifanya kundi hilo kuwa kimyaaaaaa na kudhihirisha kuwa faza ndo alikwa kichwa???????????
unaweza kutembela www.xplastaz.com kwa habari zaidi

Friday, March 27, 2009

Picha ya Mjengoni

Hapa ni Dodoma mjengoni ambapo bajeti yetu wananchi inapangwa na kuidhinishwa,
cha ajabu tangu vikao hivyo vianze miaka yote zaidi ya 47 hakuna mwaka hata mmoja amabao bajeti hizo zimeweza kututosheleza...
wadau hebu tupeni maoni yenu sisi walala hoi tunafaidikaje na vikao vyao?

Funs wa kitaanikwetu toka South Africa






Arruvial and her friend
Hello kitaanikwetu!!
thanx for the information about u r blog
i wanna advise that can u deal with the music industry?
coz nowdays tanzania become a secondly country in africa for searchin/found the new generation musician,and for a short time we have seen a lot of musician from America come and doin so many concert. so i think this will help them to be known globally...
hey tanzania get up n stand up, itz u r time now to shine!!
w
Arruvial and his friend

Monday, March 23, 2009

XPLASTAZ



Faza Nelly.Kamaa.Diana, Ziggy,Yamat wakiwa ndani ya Stockholm -Sweden
Hapa tunakumbuka enzi za uhai wa marehemu Nelson ak.a Faza Nelly wa x-plastaz akiwa na kundi zima la x-plastaz. Marehemu alifariki kwa kuchomwa kisu jijini arusha, na maziko yake kufanyika hapo hapo A-town
wadau yapi mnayakumbuka toka kwakwe?

News from Kitaanikwetu

Hello,
karibuni katika website mpya ya www.kitaanikwetu.blogspot.com
mnaweza kutoa maoni yenu ni jinsi gani blog yetu inaweza fanya kazi/na kufanikiwa zaidi
itakuwa ina base sana kwenye music/ soka, models na watu wengineo ambao wanamake headlines
mnakaribishwa sana wapendwa

Saturday, March 21, 2009

Chadema Kazini

Mh.Zitto Kabwe.ambaye pia ni naibu katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo nchini CHADEMA, akiwa katika moja ya mikutano yake akiongea na wananchi katika operarion Sangara!! Mh.Zitto mbunge kijana anakubalika sana naa wananchi kwa kufichua maovu, pia amejijengea jina na heshima kubwa kwa kujitoa kwa ajili ya wananchi
. je yeye akipewa madaraka hata angalia masilahi.......................

Cowboys (Wazee wa Chimwaga.)

Ngwair n Dagman... wazee baada ya kimyaaaaa kirefu cha mwanachemba mnasemaje kuhusu mawe mapya aliyotokanayo ya Nipeni Deal na Speed 120
tupeni maoni yenu wadu vipi pini zimetulia au niaje?na mchiz afanye kipi katika trck zake mpya zinzofuata?

Friday, March 20, 2009

Afisa Utumishi wa B.O.T



Huyu ndo Bw, Amatius Liyumba aliyekuwa Afisa Utumishi wa Bot
hapa akiwa kizmbani katika mahakama ya kisutu naposhikiliwa kwa
la kuisababishia serikali hasara ya bilioni 200 katika ujenzi wa ofisi
mpya za BOT{ Twins Tower}
dhamana yake anatakiwa tsh billioni 50, mtuhumiwa yuko rumande
wadau tupeni data zake?
je ni kweli pesa hizo zote amezitumia yy pamoja na mzee kweka?
lakini mbona majengo yameisha na yanavutia!!!!!!!!!!